Friday, June 26, 2009

MICHAEL JACKSON IS GONE

Mkali wa miondoko ya pop duniani ambae hakuna mwanamuziki aliewahi hata kujaribu kuvunja record yake kwenye mauzo na shows pia michael jackson aka wack jacko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya UCLA baada ya moyo wake kusimama kufanya kazi.hakika atakumbukwa milele maana ni alikuwa mwanamuzi wa dunia.RIP wacko jacko.

No comments:

Post a Comment